Maguu yetu yamekuwa kwa ukubwa mara mbili katika miongo minne. Kwanini?

Maelezo ya video, Maguu yetu yamekuwa kwa ukubwa mara mbili katika miongo minne. Kwanini?
Iliyochapishwa

Maisha ya leo yanaubadili kwa ukimya na taratibu mwili wa binaadamu. Kwa kutathmini sehemu mojawapo mwilini - Maguu yetu yamekuwa kwa ukubwa mara mbili katika miongo minne iliyopita. Je ni kwanini?