Mtoto anayefumbua fumbo hili akiwa amefunikwa macho

Maelezo ya video, Mtoto anayefumbua fumbo hili akiwa amefunikwa macho
Iliyochapishwa

Mtoto huyu anaweza kufumbua fumbo la mche mraba huu au Rubic Cube akiwa amefungwa kitambaa machoni..

Jina lake ni V. Sakthivel kutoka jimbo la India la Tamil Nadu. Ndiye mchezaji wa nyumbani mwenye umri mdogo zaidi kuingia katika kitabu cha rekodi cha Limca