Watu wanaolipa kuharibu magari Uholanzi - kumaliza msongo wa mawazo
Iliyochapishwa
Kampuni moja nchini Uholanzi inatoa huduma ya kipekee – ya kuwaruhusu watu kuyaharibu magari kujifurahisha na kujituliza.
Ni shughuli inayokubalika kisheria, na baadhi wamekuwa wakiitumia kumaliza msongo wa mawazo.
Lakini bila shaka huwezi kutarajia kuyatatua matatizo yako kwa kuharibu vitu.