Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Jahalia Ngonde: Najuta kujichubua ngozi yangu nzuri ya Kitanzania
Iliyochapishwa
Mfawidhi wa sherehe Jahalia Ngonde ni mwanamke wa Kitanzania ambaye aliamua kujichubua ngozi awe mweupe.
Anasema hali kwamba baadhi ya wanaume nchini Tanzania huwapenda wanawake wenye ngozi nyeupe ndiyo iliyochangia kumfanya ajichubue ngozi awe kama Mzungu bandia.
Lakini sasa anajutia uamuzi huo.
Unaweza kusoma pia: