Belachew Girma anacheka kwa saa kadhaa mfululizo

Iliyochapishwa

Raia wa Ethiopia Belachew Girma anaweza kucheka kwa saa kadhaa mfululizo. Anaamini kila mtu anastahili kucheka sana ili aishi maisha yenye afya na raha