Sam Ikwae: Afuga kuku wenye thamani kama kivutio Mombasa Kenya

Maelezo ya video, Sam Ikwae: Afuga ndege wenye thamani kama kivutio Mombasa Kenya
Iliyochapishwa

Sam Ikwae kutoka Mombasa Kenya ameanzisha mradi anaouita 'kuku vipenzi' wa kuwafuga ndege wakiwemo kuku kutokana na umaridadi wao wenye thamani ya hadi $700.

Mpiga picha: Anthony Irungu

Ripota: Abdalla Seif Dzungu