Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Haba na Haba: Changamoto za kuwalea watoto njiti Tanzania
Iliyochapishwa
Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa watoto takribani 213,000 huzaliwa mapema sana kabla ya muda wao (watoto njiti) nchini Tanzania kila mwaka.
Zaidi ya 9,000 miongoni mwao hufariki kutokana na matatizo yanayohusiana na kuzaliwa mapema mno ambayo ni takribani robo ya watoto wachanga 40,000 wanaofariki kila mwaka nchini humo.
Je, changamot o za kuwalea watoto njiti Tanzania ni gani?