Imam jasiri aliyeendelea na salah wakati wa tetemeko la ardhi lililokumba msikiti wa bali nchini Indonesia
Iliyochapishwa
Imam huyu katika msikiti mmoja wa Bali nchini Indonesia aliendelea kuomba licha ya tetemeko kubwa la ardhi kukumba msikiti huo.