Madereva wa Uber na Taxify wagoma Kenya

Iliyochapishwa

Madereva wa teksi za kuagizwa kwa kutumia mtandao, Uber na Taxify, nchini Kenya wamegoma wakitaka marekebisho katika sheria zinazosimamia biashara hiyo.

Wanaitaka serikali iwazingatie kama watoaji huduma ya uchukuzi na si kama kampuni zinazotoa huduma za kiteknolojia.

Mwandishi wa BBC Larry Madowo anatuarifu zaidi.