Britney Spears asherehekea uhuru kutoka kwa mkataba wa usimamizi wa babake

Maelezo ya sauti, Britney Spears asherehekea uhuru kutoka kwa mkataba wa isimamizi wa babake
Iliyochapishwa

Ama kweli Britney Spears anasherekea uhuru wake kutoka kwa mkataba wa usamizi wa babake uliofutwa na mahakma.

Sasa Britney Spears alianza mapema kusherehekea miaka 40 ya kuzaliwa kwake kwa kusafiri kwa ndege ya kibinafsi na mpenzi wake Sam Asghari.

Ashagri pia alimpa keki ya sarufi B na kuweka picha mitandaoni akimsifu Britney