Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Malkia Elizabeth II wa Uingereza na Mwana mfalme Philip wapokea chanjo ya corona
Iliyochapishwa
Queen Elizabeth na Mwanamfalme Philip wamekuwa miongoni mwa watu 1.5 milioni waliopokea chanjo ya virusi vya corona nchini Uingereza.
Duru zinaarifu kuwa Malkia alitaka ijulikane ili kupunguza sitofahamu.