EPL: Mikel Arteta aahidi kupambana licha ya matokeo duni

Iliyochapishwa

Meneja wa Arsenal Mikel Arteta ameapa kupigana vilivyo licha ya kuwa na mwanzo mbaya kwa the Gunners kwenye ligi kwa miaka 45. Kikosi cha Arteta kilipata kichapo cha sita kwenye Ligi ya Premia baada ya kulimwa mabao 2-0 naSpurs ya .Matokeo hayo yanaiacha Arsenal katika nafasi ya 15 ikiwa na alama 13 tu katika michezo 11.