EPL: Mikel Arteta hana wasiwasi wa kazi yake licha ya Arsenal kudorora

Iliyochapishwa

Kocha wa Arsenal Mikel Arteta amesema hana wasiwasi juu ya kazi yake licha ya matokeo ya timu yake kuzidi kudorora na kuwa mabaya Zaidi tangu mwaka wa 1981. Arsenal walishindwa kwa mabao 2 kwa 1 na Wolves katika mchezo uliokuwa na jeraha libaya la kichwa kwa mshambuliaji Raul Jimenez.