Wanamuziki watatu maarufu waongoza uteuzi wa tuzo

Maelezo ya sauti, Wanamuziki watatu maarufu waongoza katika uteuzi wa tuzo za Grammy 2021
Iliyochapishwa

Beyoncé, Taylor Swift na Dua Lipa wanaongoza uteuzi wa Tuzo za Grammy za 2021.

Beyoncé anaongoza, na uteuzi tisa kwa jumla,nne zikiwa za Black Parade, wimbo wa maandamano uliotolewa wakati wa maandamano ya Black Lives Matter.

Kibao chake Already alichowashirikisha Shatta Wale na Major Lazer kimetizamwa zaidi ya mara milioni 37 katika mtandao wa YouTube.