Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Charli D'Amelio afikisha mashabiki milioni 100 Tik Tok
Iliyochapishwa
Charli D'Amelio ni msichana mwenye miaka 16 ambaye kwa sasa ndio bingwa wa Mtandao wa TikTok kwa kua wa kwanza kufikisha mashabiki milioni 100.
Charli kutoka Norwalk, Connecticut, amepiga hatua hiyo baada ya mwaka mmoja na nusu kwenye programu hiyo.
Je wewe una mashabiki wangapi kwenye kurasa zako za kijamii ? sema nasi bbcswahili.