wanawake wawili wazindua barakoa zinazosaidia viziwi
Iliyochapishwa
Jo Milne kutoka Uingereza na rafiki yake wamefanya jamii ya viziwi kuwa na furaha baada ya kusambaza barakoa zinazoonesha mdomo ili kumuezesha mtu alie na ulemavu wa kusikia kuwasiliana na watu vizuri kwa kusoma midomo yao na kwa njia salama. Tazama video kwenye tovuti ya BBC.
