EPL: Manchester City washinda Wolves kwa mabao 3 kwa 1
Iliyochapishwa
Manchester City wameanza mechi yao ya kwanza kuwania kombe la EPL kwa kuichabanga Wolves kwa mabao matatu kwa moja kwenye mchezo uliopigwa Molineux. Mabao ya City yalifungwa na De Bruyne, Foden , Gabriel Jesus na la pekee la Wolves lilifungwa na Jiménez.
