Wauzaji Afrika Kusini hawatauza bidhaa za TRESemmé

Iliyochapishwa

Baadhi ya wauzaji wakubwa nchini Afrika Kusini hawatauza tena bidhaa za nywele za TRESemmé, kufuatia maandamano kuhusu tangazo ambalo lilidhalilisha nywele za mtu mweusi na kusemekana kuwa la kibaguzi. Maduka ya Shoprite, Woolworths na Pick N Pay tayari yameondoa bidhaa za TRESemmé kwenye maduka yake.tupe maoni yako bbcswahili.