Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mtu 'mzee zaidi' duniani afariki.
Iliyochapishwa
Mwanamme mmoja raia wa Afrika Kusini anayedhaniwa kuwa mzee zaidi ulimwenguni amefariki akiwa na umri wa miaka 116. Hati za kitambulisho za Fredie Blom zilionyesha alizaliwa katika mkoa wa Mashariki mwa Cape mnamo Mei 1904, ingawa hiyo haikuthibitishwa na Guinness World Record. Je, unadhani huenda huyu ndio mtu mzee Zaidi duniani? Tupe maoni yako kwenye ukurasa wa Facebook, BBCNewsSwahili.