Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Corona: Utafiti unaonyesha kuwa usafi umepungua na ulaji Ice Cream umeongezeka
Iliyochapishwa
Kipindi cha kufungia shughuli za kawaida na kutotoka nje yaani lockdown kimebadilisha kabisa mienendo ya maisha ya watu. Huko Uingereza wengine wamekuwa wakibugia icecream zaidi lhuku wakipunguza kwa sana tabia za awali kama vile kujipodoa na kuvalia nadhifu , mambo ambayo yalikuwa ya kawaida wakati watu walikuwa wanakwenda kazini.