Virusi vya corona: Changamoto za wanakijiji Afrika Kusini wanaokabiliwa na maambukizi
Iliyochapishwa
Tembelea tovuti ya BBC utazame video inayoonyesha kijiji kimoja kilichopo katika hatari ya kuambukizwa virusi vya corona nchini Afrika kusini.
Kijiji hicho hakina maji ya kutosha na pia hospitali ya karibu ikiwa umbali wa kilomita 64.
