Marekani:Trump atishia kufunga mitandao ya kijamii

Iliyochapishwa

Maafisa wa Ikulu ya Marekani ya White House wamesema Rais Donald Trump atasaini agizo kwa mitandao ya kijamii hii leo Alhamisi.Hatua hiyo inajiri baada ya tishio la Rais Trump kudhibiti au kufunga kabisa mitandao ya kjamii kufuatia mtandao wa twitter siku ya Jumanne kutaja jumbe mbili za Trump kuwa za kupotosha. Unadhani ni haki kwa Trump kutishia mitandao ya kijamii? Tupe maoni yako.