Virusi vya corona: Abiria kuvaa barakoa na glovu katika viwanja vya ndege

Maelezo ya sauti, Abiria kuvaa barakoa na glovu katika viwanja vya ndege
Iliyochapishwa

Abiria wanaosafiri katika viwanja kadhaa vya ndege vya Uingereza sasa watahitajika kuvalia barakoa na glavu kwa sababu ya maradhi ya Covid- kumi na tisa. Sheria hio mpya itatumika kwa wale wanaosafiri kupitia viwanja vya ndege vya Manchester, Stansted na East Midlands.Je unadhani hatua hii inafaa kutumikka katika viwanja vyote vya ndege?jsema nasi bbcswahili.