Mkurugenzi wa Twitter kutoa dola bilioni moja kupambana na Covid 19

Iliyochapishwa

Mkurugenzi wa Twitter Jack Dorsey, amesema atatoa mchango wa dola bilioni moja katika kusaidia juhudi za kupambana na virusi vya corona. Kulingana na Dorsey, mchango huo uliwakilisha takriban asilimia 28% ya utajiri wake. Je unadhani mabilionea wote wanafaa kuiga mfano huu ?