Tazama picha ya jinsi miji ilivyobakia mahame.

Maelezo ya sauti, Tazama picha ya jinsi miji ilivyobakia mahame.
Iliyochapishwa

Wapiga picha wa shirika la Reuters wamenasa picha za miji mikubwa duniani hasa kwenye vituo vya reli na kuonyesha jinsi miji hiyo iliyokuwa na shughuli tele na watu kutoka pembe zote za dunia, ilivyo salia mahame kwa sasa. Picha zote hizi zimenaswa saa sita kamili ya mchana. Zitazame kwenye tovuti ya bbc.