Jifunze njia rahisi ya kusaini hati
Iliyochapishwa
Kusaini hati za kidigitali inaweza kuwa jambo gumu... lakini unaweza kujua njia rahisi kwani mwanahabari wa BBC Click ,Omar Mehtab anaonyesha njia rahisi ikiwa unatumia kipakatalishi aina ya Mac.