Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Biashara ya mapambo yamtayarisha mjasiriamali wa kike
Iliyochapishwa
Mfanyabiashara Maddison Santamaria ameanzisha biashara ya mapambo ya nyumba huko Leigh, Manchester, akiwa na mtaji wa dola 200. Kampuni hiyo haivutii tu wateja bali raia wa kawaida huitembelea na kupiga picha za kuweka katika kurasa za Instagram.