Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mwanamziki Diamond Platnumz na mpenzi wake waachia nyimbo mpya
Iliyochapishwa
Mwanamziki Diamond Platnumz na mpenzi wake Tanasha Donna wamezindua video ya kibao chao kipya kwa jina ' Gere'. Wimbo huo uanaonekana kupokelewa vyema na mashabiki wa mziki kwani tayari umetizamwa zaidi ya mara milioni moja nukta tano kwenye mtandao wa YouTube, licha ya wengi kumkashifu Tanasha mwanzoni mwa mwezi huu kuwa hajui kuimba pale alipozindua EP yake mjini Nairobi.