Nani anafaa kuhakikisha watoto wanakula vyakula vya afya?

Maelezo ya sauti, Nani napaswa kuhakikisha watoto wanakula vyakula vya afya
Iliyochapishwa

Kampuni kubwa ya chakula ya Unilever imeapa kuacha kuuza bidhaa zake kwa watoto ili kukabiliana na idadi kubwa ya viwango vya unene wa kupita kiasi.

Vile vile imeahidi kuacha kutumia wasanii ambao wanawavutia watoto walio na umri wa chini ya miaka 12.

Lakini je, ni jukumu la nani hasa kuhakikisha lishe bora kwa watoto? sema nasi kwenye ukurasa wa Facebook, BBCSwahili