Siri ya Eminem kutumbuiza tuzo za Oscars yawashangaza wengi

Iliyochapishwa

Eminem amesema kuwa alichukua mikakati madhubuti kuhakikisha kuwa watu watashangaa wanapomuona jukwaani wakati wa tuzo za Oscars. Matayarisho yote ya tamasha yalifanywa kisiri kuhakikisha kuwa yanaendelea kuwa siri hadi wakati ufaao pale Eminem alipopanda jukwaani na kutumbuiza kwa kibao chake Lose Yourself.