Miji Uingereza yasherehekea mwaka wa Panya

Maelezo ya sauti, Miji Uingereza yasherehekea mwaka wa Panya
Iliyochapishwa

Hafla zinafanyika katika miji kadhaa huko Uingereza kukaribisha Mwaka wa Panya, ambao ulifika siku ya Jumamosi. London iliadhimisha kile kinachodaiwa kuwa sherehe kubwa zaidi nje ya bara Asia, huku sherehe katika eneo la Liverpool ikifanyika katika mji wa Chinatown.