Watu saba kati ya milioni 8 ndio maskini pekee katika mkoa wa Jiangsu nchini Uchina

Iliyochapishwa

Mkoa wa Jiangsu nchini China umesema ndio mkoa ulio na idadi kidogo zaidi ya watu maskini ambao ni 17 tu kati ya watu milioni 80. Maafisa wanasema watu hao wachache tu ndio wanaoishi chini ya dola 863 kwa siku.

Je, ni njia gani zinazoweza kupunguza umaskini ?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili