Mwanamfalme Harry na mkewe 'kutojihusisha' na shughuli za kifalme

Maelezo ya sauti, Mwanamfalme Harry na mkewe kutojihusisha na shughuli za kifalme
Iliyochapishwa

Familia ya kifalme ya Uingereza imesikitishwa na maamuzi ya mwanamfalme Harry na mkewe Meghan kutangaza 'kuacha' kujihusisha na shughuli za kifalme.