Netflix yaamrishwa kutoa kwenye mtandao wake filamu inayomuigiza yesu kama mpenzi wa jinsia moja

Maelezo ya sauti, Filamu inayomuigiza yesu kama mpenzi wa jinsia moja yazua hasira Brazil
Iliyochapishwa

Jaji mmoja huko Brazil ameiamuru filamu inayomuigiza kama mtu anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja kutolewa kwenye mtandao wa Netflix. Filamu hiyo kwa jina The first Temptation of Christ imezua hasira miongoni mwa jamii ya wakristo nchini humo.

Nini maoni yako kuhusu filamu hii?

Tuwasiliane kwenye BBCSwahili