Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mwanaume ajipata matatani kwa kutupa shilingi kwenye ndege huko China
Iliyochapishwa
Mwanamume mmoja raia wa China ambaye alikuwa abiria katika ndege ya Lucky air ikiwa ni mara yake ya kwanza alituma shilingi kama ishara ya 'bahati' katika injini za ndege waliokuwa wakisafiria. Mwanamume huyo wa miaka 28 alilazimika kulipa pauni elfu 17 kama njia ya malipo kwa bajeti ya shirika hilo la ndege.