Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Wimbo mpya wa taifa wa sayari nyekundu ya Mars
Iliyochapishwa
Mchanganuzi wa zamani wa programu za kompyuta kutoka India, Oscar Castellino sasa ameingilia sanaa na kuandika wimbo mpya ya sayari ya Mars. Castellino alipewa jukumu hilo la utunzi wa wimbo wa taifa wa sayari hiyo nyekundu na shirika la Uingereza la Mars.