Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Wachezaji wa soka wagoma kurudi uwanjani
Iliyochapishwa
Meneja wa timu ndogo nchini Uingereza ya Abingdon amejiuzulu baada ya wachezaji wake kugoma kurudi uwanjani kwa kipindi cha pili cha mchezo kwani tayari walikuwa wameshapokea kichapo cha magoli 8 bila jibu. Meneja wa klabu hiyo Tranell Richardson amesema aliunga mkono uamuzi huo wa wachaaji wake kwani hawakutaka adhabu zaidi.