Kionjo cha filamu mpya ya James Bond cha zinduliwa kwa ukamilifu

Iliyochapishwa

Kionjo cha filamu ya No Time To Die imezinduliwa ikiwa kamili kwa mara ya kwanza. Kionjo hicho kimewapatia mashabiki wa filamu hiyo nini wanachokitarajia kutoka kwa muigizaji nyota Daniel Craig.