Mwanamuziki Yola asimulia safari yake ya muziki katika maisha yake

Maelezo ya sauti, Mwanamuziki Yola asimulia safari yake ya muziki katika maisha yake
Iliyochapishwa

Mwanamuziki chipukizi ajulikanaye kama Yola ambaye anakisiwa atatwaa ushindi wa tuzo la mwanamuziki ibuka za Grammy nchini Marekani amesimulia jinsi safari ya kuwa mwanamuziki ilikubwa na changamoto kutoka kwa mamake mzazi.

Je , wewe wazazi wako hupenda kazi unayoifanya kwa hivi sasa?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili