Vitisho vya mauaji vya ikumba familia ya Braun

Iliyochapishwa

Meneja wa muziki Scooter Braun amesema familia yake imekuwa ikipokea vitisho vya mauaji baada ya mwanamuziki Taylor Swift kusema kwamba anamzuia kutocheza nyimbo zake za hapo awali. Braun hata hivyo amekuwa kimya hadi wakati vitisho kwa familia yake vilipozidi. Kwa habari zaidi tembelea BBCNews.com