Wimbo wa injili wa Jerusalem ndio bora Uingereza
Iliyochapishwa
Wimbo wa Jerusalem umechagukliwa kuwa wimbo ya injili nambari moja nchini Uingereza, katika kura iliyosimamiwa na BBC ambapo uma uliruhusiwa kuchagua nyimbo bora zaidi kati ya 100 ambazo huchezwa sana katika vipindi vya BBC kwa miaka 5 iliyopita.
