Tanzania, Kenya zaongoza kwa madeni

Tanzania, Kenya zaongoza kwa madeni
Iliyochapishwa

Viwango vya juu vya madeni vinavyodaiwa na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na wakopeshaji wengine wa nje vinaweza kusababisha hatari kubwa za kiuchumi za muda mrefu kwa nchi za Afrika.