Uchaguzi Kenya 2022: Wafahamu wagombea hawa wa uchaguzi
Uchaguzi Kenya 2022: Wafahamu wagombea hawa wa uchaguzi
Iliyochapishwa
Kinyang'anyiro cha kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa Kenya unaotarajiwa Agosti 9, mwaka huu, kilivutia takriban wawaniaji hamsini lakini ni wanne tu walioruhusiwa kugombea urais.
Tazama video hii upate kuwafahamu zaidi viongozi hawa wanne akiwemo Raila Odinga , William Ruto, George Wajackoyah na David Mwaure.



