'Niliambiwa maumivu yalikuwa kichwani mwangu'
'Niliambiwa maumivu yalikuwa kichwani mwangu'
Iliyochapishwa
Mtazame Claire Nicholls kutoka Uingereza katika tovuti ya BBC akielezea changamoto anazopata akiendelea kukabiliana na ugonjwa wa wanawake wa endometriosis unaoathri kizazi hasa wakati wa hedhi na kusababisha maumivu makali.