DJ wa Tanzania aeleza ni kwanini amecheza muziki juu ya Mlima Kilimanjaro
DJ wa Tanzania aeleza ni kwanini amecheza muziki juu ya Mlima Kilimanjaro

Iliyochapishwa
Dj mmoja wa Tanzania amewashangaza watumiaji wa mtandao baada ya kusambaza video ambayo alikuwa akicheza muziki kwenye kilele cha mlima mrefu zaidi Afrika, Mlima Kilimanjaro. Joseph Simo anayejulikana kwa jina maarufu kama DJ Joozey alicheza muziki wa dakika kumi na tano katika kilele cha mlima huo wenye urefu wa mita 5895. Joozey ni mmoja wa wanamuziki wanaochipuka Tanzania. Amezungumza na mwandishi wa BBC Fatma Abdalla, kuhusu kilichomsukuma kucheza kuziki katika kilele cha Mlima cha mlima huo mrefu zaidi barani Afrika...