'Hijab hainizuii kuishi maisha yangu kikamilifu'

Maelezo ya video, Siku ya Hijab Duniani: Ninajivunia kuvalia hijab na kuvunja mila potofu
'Hijab hainizuii kuishi maisha yangu kikamilifu'
Iliyochapishwa

Wanawake na wasichana wengi wa Kiislamu wanakabiliwa na ubaguzi kwa kuvaa hijab.

Ulimwengu unapoadhimisha Siku ya Hijab Duniani, tunazungumza na wanawake tofauti wanaoeleza kwa nini wanachagua kuvaa hijabu na maana yake kwao.

Mtayarishaji: Gloria Achieng

Imehaririwa na Samuel Kisambe