Picha adimu zinazoonyesha athari za vita vya wenyewe kwa wenyewe Ethiopia

Maelezo ya video, Tigray: Picha adimu zinazoonyesha kuishi kwa miaka 2 ya vita vya wenyewe kwa wenyewe
Picha adimu zinazoonyesha athari za vita vya wenyewe kwa wenyewe Ethiopia
Iliyochapishwa

Mzozo wa Tigray, Ethiopia: Picha adimu zinazoonyesha kuishi kwa miaka 2 ya vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Pande zinazopigana katika eneo lililozingirwa la Ethiopia la Tigray zimetia saini makubaliano ya amani Jumatano usiku.

Watu wa huko wameishi na vita hivi vya wenyewe kwa wenyewe kwa karibu miaka miwili.

Mawasiliano yamekatika katika eneo hilo na kupata habari kutoka huko imekuwa vigumu.

BBC World Service imepata kanda hii ya kipekee, ya kwanza kutoka kwa shirika la utangazaji la kimataifa tangu mapigano kuanza tena mwezi Agosti. Ushuhuda huu unaonyesha kiwango cha wasiwasi ambacho watu wa Tigray wanaishi nao