Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mashine yenye uwezo wa kuchakata aina tisa za mazao yavumbuliwa Tanzania
Iliyochapishwa
Vijana nchi Tanzania wamebuni mashine yenye uwezo wa kuchakata mazao aina tisa. Mashine hiyo imeelezwa kuwa mkombozi kwa wakulima haswa wenye kipato cha chini.
Hii imesababisha kuwepo kwa mahitaji mkubwa ya teknolojia hiyo katika soko la Tanzania, Kenya, Zimbabwe, Uganda na Zambia.
Mwandishi wa BBC, Alfred Lasteck alitembelea kiwanda hicho kilichopo Arusha, Kaskazini mwa Tanzania...