Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Africa Eye: Uhusiano uliopo baina ya uhalifu na umasikini jijini Zinder nchini Niger
Africa Eye: Uhusiano uliopo baina ya uhalifu na umasikini jijini Zinder nchini Niger
Iliyochapishwa
Makala ya BBC Afrika eye imechunguza uhusiano ulipo baina ya uhalifu na umasikini wa jijini Zinder ambalo ni la pili kwa ukubwa nchini Niger.
Magenge ya uhalifu hapa yanaishi kwa kufanya vurugu za mara kwa mara na kujinifaisha kutokana na biashara haramu ya mafuta ya petroli, na kutokana na umasikini wa kupindukia polisi hawana nguvu na swali linasalia je vijana wadogo wanaweza kutoroka masaibu haya ambapo ni kawaida magenge haya kupigana kwa sababu mbali mbali mfano kisasi,pes ana hata wanawake.
Eagan Salla anasimulia.