Junior Mbaga: 'Mchambuzi mwenye umri mdogo zaidi kugusa mioyo ya wapenda soka'
Junior Mbaga: 'Mchambuzi mwenye umri mdogo zaidi kugusa mioyo ya wapenda soka'
Iliyochapishwa
Akiwa na umri wa miaka 11 pekee Junour Ramso Mbaga aliteka hisia za mashabiki wengi wa soko kutokana na umahiri wake wa kuchambua mchezo huo hatua kwa hatua Kwenye video iliyosambaa mitandaoni, alionekana mwenye hisia kali na utulivu alieleza makosa yaliyopeleka timu kufungwa. Mwandishi wa BBC Eagan Salla alimtembelea nyumbani kwao Mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania na kutuandalia taarifa ifuatayo



